Mark 3:13-15

13 aIsa akapanda mlimani na kuwaita wale aliowataka, nao wakamjia. 14 bAkawachagua kumi na wawili, ambao aliwaita mitume, ili wapate kuwa pamoja naye, na awatume kwenda kuhubiri 15 cna kuwa na mamlaka ya kutoa pepo wachafu.
Copyright information for SwhKC